De Gea sasa kuzeekea Man United, yadaiwa mbioni kupewa donge nono

Kipa David De Gea yuko mbioni kusaini mkataba mpya Old Trafford wenye thamani wa pauni 220,000 kwa wiki ili kuendelea kubaki Manchester United.

methodetimesprodwebbinb760e0f2-1812-11e8-a427-78e8af199a96

Mhispania huyo kwa mara nyingine amehusishwa kutakiwa na Real Madrid, lakini tayari kumekuwa na mazungumzo yanaendelea ya kuongeza mkataba mpya Old Trafford utakaompa mshahara wa pauni 220,000 kwa wiki.

Gazeti la The Times limeripoti kuwa Man United wanataka kubaki na kipa huyo hadi mwaka 2021. Limeeleza gazeti hilo.

De Gea alionyesha kiwango cha juu wakati wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Sevilla uliomalizika kwa suluhu katika hatua ya 16 bora.

Hakuna ubishi kuwa jina la kipa huyo kwa sasa limejihakikishia namba katika kikosi cha Jose Mourinho na kiasi cha kuamua kuongezea mkataba mpya.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s