Kylie Jenner ajifungua mtoto wa kike

Kylie Jenner amekuwa mama. Mrembo huyo amejifungua mtoto wa kike, siku ya Alhamis February 1, baada ya kuuficha ujauzito wake mbele ya umma kwa miezi mingi. Baba wa mtoto ni rapper, Travis Scott.

24254337_1967710600162895_6894722961752719360_n

Jumapili hii ( saa sita kasoro usiku) kwa saa za Afrika Mashariki ameeleza kwenye Instagram kwanini alichagua kuuficha ujauzito wake.

27574245_219615615271014_2662154209054425088_n

Pia ameweka video hii Youtube inayoelezea safari ya ujauzito wake.

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s